Friday, March 13, 2015

PENNY ADAIWA KUNYWA SUMU KISA MWANAUME

MTANGAZAJI maarufu Bongo na aliyekuwa mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amedaiwa kunywa sumu kufuatia kunyang’anywa bwana na shosti yake aliyefahamika kwa jina la Diana.
Mtangazaji maarufu Bongo na aliyekuwa mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’.

WEMA: MUME WA ZARI ANATAKA KUNIOA

MAMBO hadharani! Supastaa wa Bongo, Wema Sepetu ‘madam’ ameanika siri zilizojificha nyuma ya pazia kati yake na aliyekuwa mume wa mwanamuziki nyota wa Uganda, Zarina Hassan ‘Zari’, Ivan Semwanga, kuwa anataka kumuoa, Risasi Jumamosi lina full stori.
Supastaa wa Bongo Movie, Wema Sepetu ‘madam’.

NJEMA ANASWA WIZI WA PESA MTANDAONI

JAMAA aliyetambulika kwa jina moja la Jacob, mkazi wa Majengo wilayani Misungwi, Mkoani Mwanza, amejikuta yuko mikononi mwa polisi wakati akifanya jaribio la wizi wa fedha sh. 70, 000 kupitia huduma za fedha za mtandao wa simu.
Kijana Jacob anayedaiwa kuiba kwa kutumia mtandao.