Friday, July 25, 2014

ANGALIA VIDEO MPYA YA BARNABA ALIYOONEKANA AMESHOOT NA MKE WAKE NDIO HII

Screen Shot 2014-07-26 at 2.30.12 AM
Hii single inaitwa ‘Wahaladee’ ambayo ni miezi kadhaa imepita tangu utoke rasmi kwenye Radio lakini July 25 2014 Watanzania wameletewa video yake ambayo imeongozwa na Nick Dizzle ambapo kingine kikubwa kwenye hii video ni mrembo alieigiza ndani yake, ni mke wa ndoa wa Barnaba (Mama Steven)

Naambiwa video imefanywa Kenya na Tanzania.

No comments:

Post a Comment