
Ushauri huo umekuwa mwiba kwa mpenzi wa Diamond, Wema Sepetu ambaye amekuwa na ndoto ya kuolewa na staa huyo anayekimbiza kitaani na wimbo wake wa Mdogomdogo.
Wema Sepetu akiwa na mpenzi wake 'Diamond Platinum'.
Akifafanua zaidi kuhusiana na ushauri huo, Nay alisema: “Kuna mifano
mingi sana nimeiona kutoka kwa wasanii ambao wameoa, wengi wao
wameshasanda sasa mdogo wangu (Diamond) na yeye alipoleta hoja ya kutaka
kuoa nikaona sasa anatafuta shimo la kwenda kujifukia, nikamshauri
aache.”

No comments:
Post a Comment