Mastaa wawili Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ pichani.
Akiwa na mtangazaji mwenzake, Edzen Jumanne, wikiendi iliyopita Jokate alidaiwa kushindwa kumbana Diamond kwa maswali wakati akimhoji kwenye kipindi kitakachoruka hewani hivi karibuni kupitia TV1.
Jokate na ‘Diamond Platnumz’ wakipata ukodaki pamoja.
Baadaye Diamond alitupia mtandaoni picha akiwa na zilipendwa wake
huyo hivyo kuibua mjadala mzito kuwa huenda bado wanapendana huku
wenyewe wakipiga kimya.


No comments:
Post a Comment