
STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' mpaka sasa ametwaa tuzo moja ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki katika Tuzo za Afrimma zinazoendelea jijini Texas nchini Marekani.

Staa
huyo anawania tuzo katika vipengele vitano ambavyo ni: Msanii bora wa
mwaka Afrika, Wimbo wa mwaka, Collabo bora, Video bora ya mwaka na
Msanii bora wa kiume wa Afrika Mashariki.
No comments:
Post a Comment