Msemaji wa Vatican (Roman Catholic) ametangaza rasmi leo kwamba ujio wa
pili wa Yesu, mtoto wa pekee wa Mungu, unaweza usitokee tena, lakini
amewahimiza wafuasi wa kanisa Katoliki kuendelea na imani yao, bila
kujali taarifa hiyo.
Kardinali Giorgio Salvadore aliiambia WWN kwamba hii ikiwa ni
miaka 1981 ya maadhimisho ya mwisho ya kumsubiri Kristo kurudi tena
duniani.
Kwa jinsi inavyoonekana tunaona kwamba Yesu hatorudi tena!.
Alisema.
It’s been ages like. He’s probably flat out doing other really good things for people somewhere else.
“It’s been ages like. He’s probably flat out doing other really
good things for people somewhere else.” - See more at:
http://www.eacvision.com/news/jesus-is-not-coming-back-roman-catholic-leaders-said/#sthash.NG7EEo1R.dpuf
Karibu miaka elfu mbili iliyopita, Yesu aliwaahidi wanafunzi
wake kwamba atarudi tena, fuatilia kitabu kitakatifu, katika sura ya
Yohana 14:1-3 ya Biblia:
Kwa baba yangu kuna makao mengi, nami nakwenda kuwaandalia ili
nilipo mimi nanyi muwepo. Wakati kila kitu kikiwa tayari, ndipo mimi
nitakuja kuwachukua ninyi
Vatican ilitetea ahadi ya Yesu kuvunjwa, wakidai:
Pengine alikunywa mvinyo wakati akinena hayo
Kuwa na uwezo wa kugeuza maji kuwa divai kuna mazuri yake na mabaya yake
Aliongeza Kardinali Salvadore.
Sote huwa tunaweka ahadi tusizoweza kuzitimiza pale ambapo tunakuwa tumelewa, Yesu pia hakuwa na tofauti
Akinukuliwa ,Kardinal Salvadore amesema kuwa sasa kanisa litakuwa
likizingatia umuhimu wa kujenga sifa yake duniani kote, lakini kuweka
akili matumaini kwa ujio wa mkombozi kwa mara ya pili

No comments:
Post a Comment