| Akitaitiwa na trafikiMtangazaji maarufu wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Ephrain Kibonde
leo ameshuhudia jinsi ambavyo mkono wa sheria ulivyo mrefu hata kwa mtu
maarufu kama yeye alipojikuta kwenye wakati mgumu baada ya kusababisha
ajali na kujaribu kukimbia. CHEKI VIDEO YAKE HAPA |
No comments:
Post a Comment