Thursday, August 7, 2014

BAADA YA KUBWAGANA KWA SIKU CHACHE NUH MZIWANDA NA SHILOLE WARUDIANA

Nuh Mziwanda akiwa na mpenzi wake Shilole.
 
Mapenzi ya Nuh Mziwanda na Shilole yaliripotiwa kuvunjika hivi karibu yamerudi kwa nguvu zaidi siku ya jana wamesambaza  picha kupitia account zao Instagram wakiwa pamoja kama ishara ya mapenzi yao kuongezeka zaidi.
Nuh na Shilole wote waliweka picha instagram kuonyesha wamepatana na mapenzi yatadumu zaidi ya miezi kadha iliyotabiriwa

No comments:

Post a Comment